エピソード

  • SENATOR KASHORE:Siasa na DUNIA ya vijana
    2022/06/14

    Edger Leonard Mwambenga (SENATOR KASHORE) Ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM aliefanikiwa kupata kiti cha ubunge wa mabibo hostel akikazana kuitengeneza safari yake ya siasa na uongozi . Anaongelea Siasa ya sasa na Dunia ya Vijana

    続きを読む 一部表示
    44 分