-
Biashara Mtandaoni Podcast
- 著者: Adam Sparrows
- ポッドキャスト
カートのアイテムが多すぎます
カートに追加できませんでした。
ウィッシュリストに追加できませんでした。
ほしい物リストの削除に失敗しました。
ポッドキャストのフォローに失敗しました
ポッドキャストのフォロー解除に失敗しました
-
サマリー
あらすじ・解説
Biashara Mtandaoni Podcast inalenga kusaidia wamiliki wa biashara kutambua fursa za kidijitali na kuzitumia kutangaza biashara kwa mafanikio. Nikiwa mtaalamu wa uuzaji wa kidijitali, nitakuwa nikiwaletea vipindi vyenye maarifa, mbinu, na mifano halisi ya jinsi ya kuendesha biashara mtandaoni kwa ufanisi.
Katika podcast hii, utajifunza:
- Jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kukuza biashara yako.
- Njia bora za kuunda kampeni za uuzaji mtandaoni.
- Mbinu za kisasa za kufikia wateja wako kupitia mtandao.
- Hadithi za mafanikio kutoka kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wa Kitanzania.
- Na mengine mengi kuhusu biashara ndani ya mitandaoni.
Biashara Mtandaoni ni kwa ajili yako – ikiwa unataka kujifunza, kukua, na kufanikiwa katika ulimwengu wa kidijitali. Jiunge nami kwenye safari hii ya kuboresha biashara yako na kuifanya kuwa bora zaidi kwa kutumia teknolojia na mitandao.
Follow podcast hii na unishirikishe maswali au mada unazotaka tuzungumzie. Hii ni safari yetu ya mafanikio mtandaoni!
-
3 分
カートのアイテムが多すぎます
ご購入は五十タイトルがカートに入っている場合のみです。カートに追加できませんでした。
しばらく経ってから再度お試しください。ウィッシュリストに追加できませんでした。
しばらく経ってから再度お試しください。ほしい物リストの削除に失敗しました。
しばらく経ってから再度お試しください。ポッドキャストのフォローに失敗しました
ポッドキャストのフォロー解除に失敗しました