INUA JAMII PROGRAM -KCB BANK PORT VICTORIA

著者: Bulala 107.5 FM Community Radio
  • サマリー

  • AFUENI KWA FAMILIA MAHIJAI MAALUM Wizara ya Utumishi wa Umma, Jinsia, Masuala ya Wazee na Mipangilio Maalum imeanzisha mpango wa usajili wa uhawilishaji fedha wa Inua Jamii unao lenga Wazee (miaka 70 na Zaidi), Watu Wanaoishi na Ulemavu na Watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu katika ofisi zao Budalang'i. Ikumbukwe kuwa huu ni mpango mpya ambao unawalenga wale wanao sajiliwa kwa mara ya kwanza na wale walionufaika hapo awali, kwa hivyo wanainchi ambao wako chini ya vikundi vilivyo tajwa kujitokeza kwa wingi ilikusajiliwa. Benki (KCB) tawi la Port Victoria ni baadhi ya Benki ambazo zimepewa kandarasi,Watakao nufaika watapokea pesa zao baada ya kufungua akaunti nao.
    Copyright 2021 Bulala 107.5 FM Community Radio
    続きを読む 一部表示
activate_samplebutton_t1
エピソード
  • INUA JAMII PROGRAM
    2021/11/09

    AFUENI KWA FAMILIA MAHIJAI MAALUM

    Wizara ya Utumishi wa Umma, Jinsia, Masuala ya Wazee na Mipangilio Maalum imeanzisha mpango wa usajili wa uhawilishaji fedha wa Inua Jamii unao lenga Wazee (miaka 70 na Zaidi), Watu Wanaoishi na Ulemavu na Watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu katika ofisi zao Budalang'i.

    Ikumbukwe kuwa huu ni mpango mpya ambao unawalenga wale wanao sajiliwa kwa mara ya kwanza na wale walionufaika hapo awali, kwa hivyo wanainchi ambao wako chini ya vikundi vilivyo tajwa kujitokeza kwa wingi ilikusajiliwa.

    Benki (KCB) tawi la Port Victoria ni baadhi ya Benki ambazo zimepewa kandarasi,Watakao nufaika watapokea pesa zao baada ya kufungua akaunti nao.

    続きを読む 一部表示
    2 分

あらすじ・解説

AFUENI KWA FAMILIA MAHIJAI MAALUM Wizara ya Utumishi wa Umma, Jinsia, Masuala ya Wazee na Mipangilio Maalum imeanzisha mpango wa usajili wa uhawilishaji fedha wa Inua Jamii unao lenga Wazee (miaka 70 na Zaidi), Watu Wanaoishi na Ulemavu na Watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu katika ofisi zao Budalang'i. Ikumbukwe kuwa huu ni mpango mpya ambao unawalenga wale wanao sajiliwa kwa mara ya kwanza na wale walionufaika hapo awali, kwa hivyo wanainchi ambao wako chini ya vikundi vilivyo tajwa kujitokeza kwa wingi ilikusajiliwa. Benki (KCB) tawi la Port Victoria ni baadhi ya Benki ambazo zimepewa kandarasi,Watakao nufaika watapokea pesa zao baada ya kufungua akaunti nao.
Copyright 2021 Bulala 107.5 FM Community Radio

INUA JAMII PROGRAM -KCB BANK PORT VICTORIAに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。