• Jinsi ya Kutambua Mafunzo Mapotovu

  • 2024/09/06
  • 再生時間: 27 分
  • ポッドキャスト

Jinsi ya Kutambua Mafunzo Mapotovu

  • サマリー

  • Katika Kipindi hiki, Esther Mwikali kutoka Biblia Husema Radio anamhoji Wanjiru Ng’ang’a ambaye ni mratibu wa Project Priscilla chini ya ACFAR Kenya. Esther anammuuliza Wanjiru baadhi ya maswali yakiwemo jinsi ambavyo wakristo wanaweza kutambua mafunzo potovu na vile ambavyo wanafaa kufanya baada ya kutambua ya kwamba wamekua wakifuata manabii au makanisa ya uongo.

    Sikiliza kipindi hiki ili uweze kuelewa jinsi ambavyo utambuzi wa kibiblia ni dawa dhidi ya udanganyifu.

    続きを読む 一部表示
activate_samplebutton_t1

あらすじ・解説

Katika Kipindi hiki, Esther Mwikali kutoka Biblia Husema Radio anamhoji Wanjiru Ng’ang’a ambaye ni mratibu wa Project Priscilla chini ya ACFAR Kenya. Esther anammuuliza Wanjiru baadhi ya maswali yakiwemo jinsi ambavyo wakristo wanaweza kutambua mafunzo potovu na vile ambavyo wanafaa kufanya baada ya kutambua ya kwamba wamekua wakifuata manabii au makanisa ya uongo.

Sikiliza kipindi hiki ili uweze kuelewa jinsi ambavyo utambuzi wa kibiblia ni dawa dhidi ya udanganyifu.

Jinsi ya Kutambua Mafunzo Mapotovuに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。