• Tukio 19 – Kuingilia Jambo kwa Kina

  • 2009/08/25
  • 再生時間: 15 分
  • ポッドキャスト

Tukio 19 – Kuingilia Jambo kwa Kina

  • サマリー

  • Ingawa maduara ya mimea yalitengezwa na Wakulima, Eulalia bado anaamini kuna madude yanayoanguka kutoka angani. Katika kuchunguza ulaghai huo, Philipp na Paula wanakwenda baa ya mahali ambako wanazungumza na wanakijiji. Paula na Philipp wametengua kitendawili cha maduara ya mimea lakini bado wana shaka kuhusu kuweko kwa madude yanayoanguka kutoka angani. Madude hayo ni nini? Eulalia anasisitiza amewahi kuliona moja. Hatimaye waandishi habari hao wanawauliza wateja kwenye baa maoni yao kuhusu maduara bandia ya mimea. Ziara ya baa ni fursa nzuri ya kutanguliza wakati uliopita, hasa kitenzi kisichotabirika "sein" (kuwa). Kitenzi cha utaratibu "können" (kuweza) pia kimeangaziwa katika tukio hili. Zingatia jinsi irabu zinavyobadilika wakati wa kunyambua kitenzi.
    続きを読む 一部表示

あらすじ・解説

Ingawa maduara ya mimea yalitengezwa na Wakulima, Eulalia bado anaamini kuna madude yanayoanguka kutoka angani. Katika kuchunguza ulaghai huo, Philipp na Paula wanakwenda baa ya mahali ambako wanazungumza na wanakijiji. Paula na Philipp wametengua kitendawili cha maduara ya mimea lakini bado wana shaka kuhusu kuweko kwa madude yanayoanguka kutoka angani. Madude hayo ni nini? Eulalia anasisitiza amewahi kuliona moja. Hatimaye waandishi habari hao wanawauliza wateja kwenye baa maoni yao kuhusu maduara bandia ya mimea. Ziara ya baa ni fursa nzuri ya kutanguliza wakati uliopita, hasa kitenzi kisichotabirika "sein" (kuwa). Kitenzi cha utaratibu "können" (kuweza) pia kimeangaziwa katika tukio hili. Zingatia jinsi irabu zinavyobadilika wakati wa kunyambua kitenzi.

Tukio 19 – Kuingilia Jambo kwa Kinaに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。