• Tukio 26 – Kumuaga Ayhan

  • 2009/08/25
  • 再生時間: 15 分
  • ポッドキャスト

Tukio 26 – Kumuaga Ayhan

  • サマリー

  • Hali ya huzuni imetanda katika afisi za Radio D. Ayhan anawaaga wenzake na anarudi nchini Uturuki. Ingawa wafanyikazi wenzake wamemwandalia hafla ya kumuaga, hawana la kuchangamkia. Paula anafika kazini asubuhi na kuwapata watu wote wakijitayarisha kwa sherehe. Hafurahii sherehe hizo kamwe: Ayhan anaondoka Radio D kurudi zake Uturuki kumsaidia baba yake. Katika harakati za kumuaga Ayhan, wafanyi kazi wenzake wameandaa hotuba fupi na zawadi ya kumbukumbu ya rafiki yake Eulalia. Kutokana na hafla hiyo ya kumuaga Ayhan, mwalimu hajishughulishi na sarufi. Hata hivyo anazungumzia maneno machache kuhusu nomino ambatani.
    続きを読む 一部表示

あらすじ・解説

Hali ya huzuni imetanda katika afisi za Radio D. Ayhan anawaaga wenzake na anarudi nchini Uturuki. Ingawa wafanyikazi wenzake wamemwandalia hafla ya kumuaga, hawana la kuchangamkia. Paula anafika kazini asubuhi na kuwapata watu wote wakijitayarisha kwa sherehe. Hafurahii sherehe hizo kamwe: Ayhan anaondoka Radio D kurudi zake Uturuki kumsaidia baba yake. Katika harakati za kumuaga Ayhan, wafanyi kazi wenzake wameandaa hotuba fupi na zawadi ya kumbukumbu ya rafiki yake Eulalia. Kutokana na hafla hiyo ya kumuaga Ayhan, mwalimu hajishughulishi na sarufi. Hata hivyo anazungumzia maneno machache kuhusu nomino ambatani.

Tukio 26 – Kumuaga Ayhanに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。