-
サマリー
あらすじ・解説
Kila msimu maishani una fursa na changamoto zake, hasa katika biashara. Katika video hii, tunazungumzia jinsi ya kutambua msimu wako wa sasa na kufanya maamuzi yanayokubaliana na wakati huo. Usipoteze mwelekeo tambua msimu wako na endelea mbele kwa hekima na ujasiri. Chukua hatua