• Safari ya Mafanikio na Misana Manyama

  • 著者: Misana Manyama
  • ポッドキャスト

Safari ya Mafanikio na Misana Manyama

著者: Misana Manyama
  • サマリー

  • #Mafanikio #Maamuzi #misanamanyama Mara nyingi tumejikuta tukifanya maamuzi ili kuziba mianya ya hofu ya baadae, Maamuzi ambayo yamepelekea wengi wetu kujikuta katika mifumo mibaya ya maisha kama madeni yaliyokithiri na kukosa utulivu. Katika Video hii utajifunza namna ya kufanya maamuzi mazuri na sahihi yanayoweza kukuletea mafanikio bila kuwa na hofu. Usisahau kusubscribe na kutuma (share) video hii kwa watu wengine ili wapate fursa ya kujifunza. #MisanaManyama #Personalgrowth #Uwekezaji
    Misana Manyama
    続きを読む 一部表示

あらすじ・解説

#Mafanikio #Maamuzi #misanamanyama Mara nyingi tumejikuta tukifanya maamuzi ili kuziba mianya ya hofu ya baadae, Maamuzi ambayo yamepelekea wengi wetu kujikuta katika mifumo mibaya ya maisha kama madeni yaliyokithiri na kukosa utulivu. Katika Video hii utajifunza namna ya kufanya maamuzi mazuri na sahihi yanayoweza kukuletea mafanikio bila kuwa na hofu. Usisahau kusubscribe na kutuma (share) video hii kwa watu wengine ili wapate fursa ya kujifunza. #MisanaManyama #Personalgrowth #Uwekezaji
Misana Manyama
エピソード
  • MAFANIKIO YAMEMEZWA NA HOFU
    2024/12/19

    Mafanikio Yamemezwa na Hofu | Jifunze jinsi hofu inavyoweza kuwa kikwazo kikubwa kwa mafanikio yako na jinsi ya kuishinda

    続きを読む 一部表示
    29 分
  • MAFANIKIO NI SEASONAL
    2024/12/19

    Kila msimu maishani una fursa na changamoto zake, hasa katika biashara. Katika video hii, tunazungumzia jinsi ya kutambua msimu wako wa sasa na kufanya maamuzi yanayokubaliana na wakati huo. Usipoteze mwelekeo tambua msimu wako na endelea mbele kwa hekima na ujasiri. Chukua hatua

    続きを読む 一部表示
    41 分
  • INTUITION [MACHALE] NI MSINGI WA MAFANIKIO
    2024/12/19

    katika episode hii utajifunza umuhimu wa kutumia hisia za ndani (machale) (instinct) kama mwongozo wa kufanikisha malengo yako maishani na kwenye biashara.

    続きを読む 一部表示
    30 分

Safari ya Mafanikio na Misana Manyamaに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。