エピソード

  • Je, wafahamu Nishati Safi ya Kupikia?
    2024/09/19

    Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Elimu Jamii, siku ya leo tupo na Bwana Aloyce Kamando Balozi wa Mazingira chini Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akituongoza kujifunza Nishati Safi ya Kupikia.

    L'articolo Je, wafahamu Nishati Safi ya Kupikia? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    49 分
  • Fahamu mafundisho yaliojili katika Kongamano la tano la Ekaristi Takatifu.
    2024/09/18

    Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, leo nipo na Padre Benno Kikudo Mkurugenzi wa Walei kutoka Balaza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, akifundisha sehemu ya mafundisho ya Kongamano la 5 la Ekaristi Takatifu lililofanyika Jimbo kuu la Dar es salaam ?”

    L'articolo Fahamu mafundisho yaliojili katika Kongamano la tano la Ekaristi Takatifu. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    55 分
  • Fahamu wajibu wa Wanawake katika Utetezi wa Uhai.
    2024/09/18

    Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro Life utetezi wa uhai, Wakufunzi wetu leo Wanazungumzia Nafasi ya Mwanamke katika Utetezi wa Uhai .

    L'articolo Fahamu wajibu wa Wanawake katika Utetezi wa Uhai. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    52 分
  • Je, wafahamu wosia wa Mungu alio utoa kupitia Mtume Paulo.
    2024/09/18

    Karibu Uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Tafakari Nasi, na leo tupo na Padre Yohanesi Kutoka Jimbo katoliki Njombe, leo atatafakaria wosia wa Neno la Mungu kupitia Mtume Paulo.

    L'articolo Je, wafahamu wosia wa Mungu alio utoa kupitia Mtume Paulo. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    26 分
  • Fahamu vyema maneno yalisemwa na Yesu Kristo Msalabani.
    2024/09/18

    Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Studio tupo naye Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, leo hii anaendelea anafundisha juu ya maneno haya “Mungu wangu mbona umeniacha?”

    L'articolo Fahamu vyema maneno yalisemwa na Yesu Kristo Msalabani. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    54 分
  • Wakristo waaswa kuyaiga yale mema alio yaishi Mfalme Daudi?
    2024/09/18

    Karibu uungane na Padre Titus Amigu, Mtalaamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu la Mwanza, katika kipindi cha Ujumbe wa Bibilia, akielezea maisha ya Mfalme Daudi.

    L'articolo Wakristo waaswa kuyaiga yale mema alio yaishi Mfalme Daudi? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    56 分
  • Fahamu mahusiano ya Walei na Kongamano la Ekaristi Takatifu.
    2024/09/18

    Karibu Uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Utume wa Walei leo nipo na Bi. Rosemary Gerald Katibu Kamati ya Uinjilishaji Jimbo kuu la Dar es salaam amabapo leo atazungumzia mada ya Walei na Kongamano la Ekaristi Takatifu.

    L'articolo Fahamu mahusiano ya Walei na Kongamano la Ekaristi Takatifu. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    57 分
  • Fahamu sifa ya kuwa Katekista.
    2024/09/18

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani leo tupo na Frateri Alto Albert Mlelwa, kutoka Parokia ya Mtume Paulo Kilangamoto Jimbo Katoliki Njombe, akijibu swali la Msikilizaji linalo hoji, Je, Mkristo yeyote anaweza kuwa Katekista pasipo kuwa na Elimu ya Ukatekista?

    L'articolo Fahamu sifa ya kuwa Katekista. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    24 分